USIACHE LUGHA IZUIE NDOTO ZAKO!

USIACHE LUGHA IZUIE NDOTO ZAKO!
Magwiji, fursa ya bure imefunguka! Jifunze jinsi ya kuandaa Mpango wa Biashara (Business Plan) na kutafuta wawekezaji ukitumia lugha ya Kiingereza kwa ufasaha. Kozi hii inatolewa bure kupitia American Spaces na Chuo Kikuu cha Pennsylvania( University of Pennsylvania ).
Utajifunza:
  1. Kutambua fursa za biashara.
  2. Kuandika mipango ya biashara.
  3. Mbinu za kusema na wawekezaji.
Madarasa yanaanza 29 Januari. Usichelewe! Jisajili hapa: https://bit.ly/4pPPnyK

Makala nyingine ambazo unaweza kupendezwa nazo:

0 comments

Weka Maoni Yako | Leave a comment